Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Mwalimu James Irenge katika ibadaya mazishi iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Mwisenge Mjini Musoma, Julai 26, 2012. Mzee Mwisenge mpaka anafariki hakuwahi kuonja mafao yake ya Ualimu. Hii ni aibu sana kwa Taasisi za mifuko ya kijamii.(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Loading...
Post a Comment