- AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA ULINZI NA USALAMA, ALIPOTEMBELEA MAKAO MAKUU YA SMART PARTNERSHIP
- ADHIHIRISHA ULE USEMI WA ALIOUSEMA LOWASSA YA "HAWAJAKUTANA BARABARANI"
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012. Pamoja na Rais ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowasasa .PICHA NA IKULU
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012 |
Post a Comment