Kutoka KushotoSolange
Knowles,Beyonce,Jay-Z, Kanye West na Kim Kardashian katika tuzo za BET
2012. Waangalie Wanamuziki hawa walivyopendeza mno wakati wakiwa kwenye matamasha ya tuzo tofauti na Wasanii wetu wa hapa nyumbani wanaokwenda na mavazi ya kwenye matamasha pasipo kujali uzito wa tukio. Ni vyema wakaanza kujifunza sasa mavazi ya kuvaa yanayoendana na muktadha waliopo
on Tuesday, July 3, 2012
Post a Comment