Afisa
wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa Masaninga
akitoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Joseph
Warioba kuhusu utendaji kazi wa kitengo wa Hansard wakati alipofanya
ziara ya kutembelea vitengo mbalimbali vilivyopo katika Tume hiyo, siku
ya Ijumaa tarehe 24.Julai.2012. Kushoto ni Katibu wa Tume Assaa Rashid
na aliyekaa ni Afisa wa Sekretarieti Bi. Rose Mangili.
Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Assaa Rashid akifafanua jambo
kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Joseph Warioba wakati
alipotembelea kitengo cha Hansard kujionea shughuli zinazofanywa na
Kitengo hicho. Wengine katika picha kutoka kulia Mkuu wa Kitengo hicho,
Bi. Hanifa Masaninga na aliyekaa ni Afisa wa Sekretarieti Bi Rose
Mangili.
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw.
Mohammed Hamad akitoa ufafanuzi kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji
mstaafu Joseph Warioba wakati alipotembelea kitengo hicho na kujionea
utendaji kazi wake, siku ya Ijumaa tarehe 24. Julai.2012. Wengine
katika picha ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid, Naibu Katibu Katibu,
Casmir Kyuki na watendaji wengine wa Sekretarieti ya Tume hiyo.

wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ross Kinemo akitoa
ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba wakati wa ziara yake ya kutembelea
vitengo mbalimbali vilivyopo katika Tume hiyo aiyoifanya siku ya
Ijumaa tarehe 24. Julai. 2012. Wengine katika picha kutoka kulia ni
Maafisa wa Sekretarieti Bi. Nenelwa Wankanga na Bw. Joseph Ndunguru.
Post a Comment