 |
Rais Kagame akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Yanga, Mama Fatma Karume |
 |
MEZA
YA MAPROO; Hapa kuna Mbuyu Twite, Hamisi Kiiza aliyeipa mgongo kamera,
Didier Kavumbangu kushoto na Yaw Berko anayetazajma kamera |
 |
Wachezaji |
 |
Rais Kagame akisalimiana na kocha wa Yanga, Tom Saintfiet |
 |
Wachezaji wa Yanga wakims |
 |
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akiwa na kocha Saintfiet, wakimkabidhi Kombe Rais Kagame |
 |
Mwenyekiti wa Yanga, Yussufr Manji akizungumza kitu mbele ya rais Kagame |
 |
Sief Ahmad Magari akimkabidhi jezi ya Yanga Rais Kagame mbele ya Mama Fatma Karume |
 |
Rais Kagame akizungumza na Yanga |
 |
Rais Kagame akizungumza na Mwenyekiti wa Yanga, Manji |
 |
Rais Kagame katika picha ya pamoja na Yanga. PICHA ZOTE NA SALEH ALLY, MHARIRI KIONGOZI GAZETI LA CHAMPIONI |
on Friday, August 24, 2012
Post a Comment