Naibu
katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,Dr Patrick
Makungu (wa tatu kutoka kushoto)akibonyeza kitufe kwenye simu kuashiria
uzinduzi mobile TV kushoto ni mliki wa kituo cha WAPO Redio Bw
Silivestre Gamanywa kushoto.mbunge wa kawe Mhe Halima Mdee wakishuhudia
uzinduzi huo
Naibu
katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,Dr Patrick
Makungu akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuzindua huduma hiyo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
on Sunday, September 16, 2012
Post a Comment