Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA SALMA KIKWETE, U.W.T WAMEANZA KAMPENI ZA URAIS 2015 KWA MAMA ASHA - ROSE MIGIRO?

* WAMWANDALIA SHEREHE YA KUMPONGEZA KWA UWAKILISHI MZURI UMOJA WA MATAIFA

* NI SHUGHULI YA AKINA MAMA LAKINI IMEBIDI WANAUME WAITWE ILI KUJAZA IDADI YA WATU

* MAMILIONI YA PESA YATEKETEZWA

 Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete (katikati) akicheza segere wakati wa sherehe iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM), kumkaribisha na kumpongeza Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) kwa kuwa mwamamke wa kwanza Afrika kushika wadhifa huo, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Spika wa Bunge, Anne Makinda na Mama Maria Nyerere wakiangalia wanawake wakiserebuka muziki wakati wa shere hiyo.
                           Mama Slma Kikwete akihutubia katika sherehe hiyo
                                                        Wanawake wa CCM wakicheza na kufurahi
 Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha -Rose Migiro (aliyevaa miwani kushoto) akijumuika kucheza segere wakati wa sherehe iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM), kumkaribisha na kumpongeza kwa kuwa mwamamke wa kwanza Afrika kushika wadhifa huo, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Mama Migiro akiwapungia wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya akina mama wakicheza na kufurahi huku wakiwa na mabango ya kumpongeza Migiro
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top