* SASA WAAMUA KUWATUMIA BONGO MOVIE KWENYE MATAMASHA YAO YA MUZIKI NA KWENYE SHUGHULI ZA KIJAMII
Wasanii mahiri wa filamu hapa nchini
nao walikuwepo kuliunga mkono tamasha la Fiesta usiku huu ndani ya
Dodoma,kutoka kulia ni Jacob Steven a.k.a JB,Wema Sepetu pamoja Aunt
Ezekiel.
Ray Kigosi akilicheza sebene jukwaani.
Ray akimtambulisha Wema Sepetu kwa mashabiki.
Wema Sepetu akinyonga viuono mbele ya mashabiki wa tamasha la Serengeti Fiesta uuwanja wa mjini Jamhuri Dodoma
Aunt Ezekiel akimwaga mauno yake lanini mbele ya mashabiki
Aunt Ezekiel akimwaga mauno yake lanini mbele ya mashabiki
Mmoja
wa wasimamizi wa kituo cha The Village of Hope,Father Vincent Boselli
akitoa ufafanuzi mfupi wa mambo mbalimbali ya kituo hicho mbele ya Mkuu
wa wilaya ya Dodoma Mjini,Mh Lephy Gembe sambana na wasanii wa muziki wa
bongofleva na wa Filamu
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Diamond akijitambulisha mbele ya watoto na
pia aliwaimbia baadhi ya nyimbo zake na kuwafanya watoto hao wafurahi
zaidi,kwani walikuwa wakimuona tu kwenye luninga ama kuzisikia nyimbo
zake kwenye redio.
Mmoja
wa waigizaji mahiri katika tasnia ya Filamu hapa nchini,Aunt Ezekiel
akiwasalimia watoto,kulia kwake ni msaani mkongwe wa bongoflea,Sir Juma
Nature akifuatilia kwa umakini tukio hilo adhimu kabisa.
Matukio yote hayo yameandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP
Post a Comment