Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
na Mama Salma Kikwete wakiwa katika hafla ya kutoa heshima zao na
kuweka mashada ya maua kwenye Kaburi la Mwanzilishi wa Taifa la Kenya,
Hayati Jomo Kenyatta jijini Nairobi Septemba 12, 2012 akiwa katika
Ziara Rasmi ya Kiserikali (State Visit) ya siku tatu ambayo ni ziara
yake ya kwanza rasmi nchini humo ingawa amefanya ziara kadhaa za kikazi
nchini Kenya.
Rais jakaya kikwete akiweka shada la maua kwenye kwenye
Kaburi la Mwanzilishi wa Taifa la Kenya, Hayati Jomo Kenyatta
jijini Nairobi Septemba 12, 2012 akiwa katika Ziara Rasmi ya
Kiserikali (State Visit) ya siku tatu ambayo ni ziara yake ya kwanza
rasmi nchini humo ingawa amefanya ziara kadhaa za kikazi nchini Kenya.
Mama Salma Kikwete akiweka shada la maua kwenye
Kaburi la Mwanzilishi wa Taifa la Kenya, Hayati Jomo Kenyatta
jijini Nairobi Septemba 12, 2012 akiwa katika Ziara Rasmi ya
Kiserikali (State Visit) ya siku tatu ambayo ni ziara yake ya kwanza
rasmi nchini humo ingawa amefanya ziara kadhaa za kikazi nchini Kenya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka jiwe la msingi katika jengo jipya la kutengeneza maziwa ya unga
katika Kiwanda cha Maziwa cha Brookside Diary kwenye Barabara ya Thika
nje kidogo ya jiji la Nairobi. Kushoto ni Mwenyekiti wa kampuni ya
Brookside Diary Bw. Muhoho
Rais
Kikwete akiangalia mchoro wa ujenzi wa jengo la kutengeneza maziwa ya
unga wa kiwanda hicho. Anayemuelekeza ni Mwenyekiti wa kampuni ya
Brookside Diary Bw. Muhoho Kenyatta,
Rais Kikwete akiangalia kondoo wanaofugwa kisasa katika shamba la kiwanda hicho
Rais
Kikwete akiangalia ng'ombe wanaofugwa kisasa katika shamba la kiwanda
hicho. Anayemuelekeza
ni Mwenyekiti wa kampuni ya Brookside Diary Bw. Muhoho Kenyatta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitembelea na kujionea shughuli mbalimbali za Taasisi ya Utatifi wa
Kilimo ya Kenya (KARI)Picha na IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wake baada ya
kutembelea Kituo cha Magonjwa ya Moyo na Kansa kwenye Hospitali ya Chuo
Kikuu cha Aga Khan jijini Nairobi Septemba 12, 2012 akiwa katika Ziara
Rasmi ya Kiserikali (State Visit) ya siku tatu ambayo ni ziara yake
ya kwanza rasmi nchini humo ingawa amefanya ziara kadhaa za kikazi
nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akitembelea Chuo cha Taifa cha Ulinzi cha Kenya (National
Defence College) kilichoko Karen, Nairobi,
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja n ujumbe wake na wanachuo na viongozi wa
chuo hicho baada ya kukitembelea Chuo cha Taifa cha Ulinzi cha Kenya
(National Defence College) kilichoko Karen, Nairobi, Picha na IKULU
on Friday, September 14, 2012
Post a Comment