Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akisindikizwa na Rais Mwai E. Kibaki baada ya Dhifa ya Kitaifa
aliyoandaliwa katika hoteli ya Inter Continental.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akijibu hotuba na baadaye kunyanyua glasi juu kuwatakia afya njema
wenyeji wake wakati wa Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima yake
katika hoteli ya Inter Continental.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akigonganisha glasi na Rais Mwai E. Kibaki wakati wa Dhifa ya Kitaifa
katika hoteli ya Inter Continental.
Rais Mwai E. Kibaki akiongea wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete katika hoteli ya Inter Continental.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akijibu hotuba na kuwatakia afya njema wenyeji wake wakati wa
Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima yake katika hoteli ya Inter
Continental.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais Mwai E. Kibaki, Waziri Mkuu
wa Kenya Mhe Raila Odinga (kushoto) na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe
Kalonzo Musyoka kabla ya Dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa na mwenyeji
wao.Picha na IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
pamoja na ujumbe wake na wenyeji wakiongea na wanahabari na kisha kupiga
picha ya pamoja baada ya Mazungumzo yao Rasmi ya Kiserikali kati ya
nchi hizo mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete na mwenyeji wake Rais Mwai E. Kibaki wa Kenya pamoja na ujumbe
wake wakiingia Ikulu ya Nairobi Jumanne, 11 Septemba , 2012, alipoanza
Ziara Rasmi ya Kiserikali (State Visit) ya siku tatu nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na ujumbe wake na wenyeji wakiongea na wanahabari na
kisha kupiga picha ya pamoja baada ya Mazungumzo yao Rasmi ya
Kiserikali kati ya nchi hizo mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na ujumbe wake na wenyeji wao wakianza Mazungumzo Rasmi
ya Kiserikali kati ya nchi hizo mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akipokewa na Waziri wa Elimu ya Juu wa Kenya, Mheshimiwa
Margaret Kamar alipowasili Chuo Kikuu cha Kenyatta kufungua rasmi Jengo
la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akikata utepe kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo
Kikuu cha Kenyatta. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu ya Juu, Mheshimiwa
Margaret Kamar na kuhsoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa
Olive Mugendi.
Post a Comment