Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mh Tundu Lissu Afiwa na Baba yake


Baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augostino Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina. Chadema Blog inapenda kuchukua nafasi hii kukupa pole Mh Tundu Lissu kwa kufiwa na Baba Mzazi. Tupo pamoja nawe katika kipindi hiki cha Majonzi na Mwenyezi Mungu amlaze mzee wetu Mahali pema Peponi, Amina. 
SOURCE CHADEMA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top