Msanii
wa maigizo na mchekeshaji kutoka Bongo Movie Steve Mengele maarufu kama
Steve Nyerere amepata pigo la kufiwa na mtoto wake leo hii maeneo ya
Kinondoni. Inarepotiwa kwamba mtoto
huyo aliyefariki ni wa kiume ambaye ni mtoto wake wa tatu. Huyu ni
mtoto wa pili kufariki kwneye familia ya Steve na mkewe Zawadi! So sad! Msiba upo nyumbani kwake maeneo ya Kinondoni.
Taarifa zaidi tutawajulisha tutakavyo kuwa tukizipokea.
JG Blog inatoa pole kwa familia ya Steve kwa kupotelea na mtoto wao.
May his soul R.I.P
Post a Comment