Mkuu
wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Mtumwa Rutengwe akipokea Mwenge wa Uhuru
kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya baada ya
kumaliza mbio zake Mkoani Rukwa ambapo Jumla ya miradi 27 iliyogharimu
zaidi ya bilioni 5 ilizinduliwa na kuwekwa mawe ya msingi katika Mkoa wa
Rukwa.
on Thursday, September 20, 2012
Post a Comment