Naibu Mkurugenzi ambaye pia ni Mratibu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania { TCRA } Kanda ya Dar es salaam Bwana Victor Nkya akiwasilisha
mchango wa Maafa wa mamlaka hiyo wa Shilingi Milioni 5,000,000/- kwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapoOfisini
kwake Vuga Mjini Zanzibar
MtakwimuMkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Nd. Mohd Hafidh
akitoa tathmini ya zoezi la sensa ya watu na Makazi lililomalizika
mwishoni mwa Wiki iliyopita mbele ya Kamati ya Taifa ya Sensa Zanzibar.
Kamati hiyo ya Taifa ya Sensa ilikutana chini ya Mwenyekiti wake
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo katika
ukumbi wa Ofisi yake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.Picha na Hassan Issa
wa–Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Post a Comment