Mgombea Uwakilishi kupitia Chama cha TEDEA Seif Salim Seif, akitowa
sera za Chama chake katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya
mpira Chagua Kijichi Bububu.
Katibu Mkuu wa Chama cha TADEA Ali Juma Ali akimnadi Mgombea wa Chama
chake katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu Seif Salim Seif katika
mkutano wao wa kampeni katika kiwanja cha ChaguaKijichi Bububu.
Mgombea
Uwakilishi kupitia Chama cha TEDEA Seif Salim Seif, akitowa sera za
Chama chake katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya mpira
Chagua Kijichi Bububu.
Katibu
Mkuu wa Chama cha TADEA Ali Juma Ali akimnadi Mgombea wa Chama chake
katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu Seif Salim Seif katika mkutano
wao wa kampeni katika kiwanja cha Chagua
Viongozi wa Chama cha TADEA, wakimsikiliza Mgomea wao katika mkutano
wa kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu wakati wa mkutano wao
wa kampeni katika viwanja vya Chagua Kijichi..
Post a Comment