Waziri
wa Ardhi Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka Akimkabidhi Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete anuani ya makazi ya ikulu wakati uzinduzi wa
mfumoo wa anuani Mpya za Makazi na nembo ya Simbo((Post code)
uliofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo asubuhi
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunga mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Afrka
kuhusu Mazingira uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
AICC mjini Arusha leo jioni.
on Friday, September 14, 2012
Post a Comment