Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mradi ya Ufugaji nyuki katika kijiji cha
Nkalalo wilayani kwimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza
Septemba 14, 2012. Nyuma yake ni mkewe Tunu na kushoto kwake ni Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Kwimba, Suleiman Mzee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wasanii
wa Kikundi cha Ng’wanadelema cha Ngudu wilayni Kwimba wakicheza ngoma
ya Wayeye wakai Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasalimia wnanchi katika
kijiji cha Nkalalo wilayani Kwimba akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza
Septemba 14, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment