Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DKT SHEIN AITISHA SEMINA YA MASHEHA NA MADIWANI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akisalimiana na VIongozi mbali mbali,alipowasili
katika viwanja vya Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel Wesha
Pemba,aliposhiriki katika Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji
uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za
Mitaa,iliyoanza leo,.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua Semina ya tatu
kuhusu Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji
katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Misali Sunset Beach
Hotel Wesha Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akiwa Mwenyekiti wa Semina ya Uimarishaji uhusiano
baina ya Viongoziwa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za
Mitaa,akiteta jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya
Mzee,kabla ya kuifungua  Semina hiyo katika Ukumbi wa Misali Sunset
Beach Hotel leo, Wesha Pemba.    [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mwakilishi wa Shirika la UNDP hapa Zanzibar Njeri
Kamau,akiwasilisha salamu za Shirika hilo katika Semina ya siku tatu
ya Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa kisiasa na Kiutendaji
katika Serikali za Mitaa,iliyoanza leo katika ukumbi wa Misali sunset
Beach Hotel Wesha Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Baadhi ya Madiwani na Mashehawa Shehia mbali mbali za Pemba,wakiwa katika Semina ya siku tatu Kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza leo,chini ya  Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,  katika Ukumbi
Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top