Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MEMBE AKISAFISHA NYOTA NA RAIS BARCK OBAMA NA MAMA MICHELLE OBAMA, NEW YORK MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Waziri Benard Membe, katika picha ya pamoja na Rais Obama na Mama Michele Obama wakati wa hafla ya Viongozi wa Nchi Wanachama za Umoja wa Mataifa iliyoandaliwa na Mhe. Rais Barack Obama jijini New York. Mhe. Waziri Membe yuko New York akiongoza ujumbe wa Tanzania akimuwakilisha Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top