Rais
wa Tanzania Jakaya Kikwete akizindua Jiwe la msingi la mradi wa Ujenzi
wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Morogoro leo jijini Dar es
Salaam. Ujenzi hua utakao anzia Feli hadi Kimara kwa kuunganisha na
barabara ya Kawawa kunzia Magomeni hadi Moroko ni waumbali zaidi ya
Km21.
Akifungua Rasmi Jiwe la Msingi wa ujenzi wa barabara hiyo.
Rais Kikwete akiwa kwenye moja ya vifaa vya kisasa vitakavyotumika kujenga barabara hiyo mara baada ya kuzindua jiwe la msingi.
Rais Kikwete akishuka kwenye kifaa hicho ambacho ni maalum kwaajili ya kuwekea lami barabarani.
on Tuesday, September 18, 2012
Post a Comment