Mwenyekiti
wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Regnald Mengi
akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wahariri Developmeny Saccos katika
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam (Picha zote na Joseph Senga)
Baadhi ya Wanachama wa Saccos hiyo
Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri, Absalom Kibanda akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Saccos hiyo
Mwenyekiti
wa Muda wa Wahariri Development Saccos, Daniel Chongolo akionesha
nyaraka za usajili wa Chama cha Kukopa na Kuweka (SACCOS) wakati wa
uzinduzi wa Saccos hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Regnald Mengi
(kushoto), akimkabidhi nyaraka za usajili wa Chama cha Kukopa na Kuweka
(SACCOS), Mwenyekiti wa Muda wa Wahariri Development Saccos, Daniel
Chongolo, mara baada ya kuzindiu saccos hiyo, kwenye viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Jukwa la
Wahariri, Absalom Kibanda.
Post a Comment