Mhe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa na
Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya
mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort
Munyonyo mjini Kampala, Uganda, .
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipitia waraka wenye makubaliano kabla ya yeye na Wakuu wenzake wa
Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya
mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort
Munyonyo mjini Kampala, Uganda.
PICHA NA IKULU
Post a Comment