Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akionyeshwa picha ya mfano wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Jimbo la
Kusini,Askofu Lusekelo Mwakafwila kabla ya kuanza kwa Harambee ya
Kuchangia ujenzi wa Kanisa hilo.Katika harambee hilo iliyoongozwa na Mh.
Lowassa,jumla ya sh. Mil 70 zimechangishwa leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipeana
mkono na Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini,Askofu
Lusekelo Mwakafwila mara baada ya Ibada ya Jumapili na baadae kuendeshwa
kwa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa hilo Ushirika wa Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam leo.
Mwanadada
aleandaliwa kwa kusoma lisala ya kumkaribisha mgeni Rasmi katika
kuendesha harambee hiyo,Bi. Leah Mwainyekule akisoma lisala hilo.
Bi.
Leah Mwainyekule akikabidhi lisala hiyo kwa Mgeni Rasmi ambaye ni
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipena
mkono na Mkuu wa Mstaafu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Robert
Mboma baada ya kuchangia katika Harambee ya Ujenzi wa kanisa la
Moravian Ushirika wa Mbezi Beach,Jijini Dar es Salaam,uliofanyika
leo.,jumla ya sh. Mil 70 zimechangishwa katika Harambee hiyo.
Meneja
wa Kilaji cha Kilimanjaro kutoka TBL,George Kavishe akipena mkono na
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini,Askofu Lusekelo
Mwakafwila mara baada kuchangia katika harambee ya ujenzi wa Kanisa la
Moravian Ushirika wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipena
mkono na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kinondoni,Mzee Mwaikambo mara baada ya
kuchangia katika harambee hiyo.
Kina Mama pia walikuwa Mstari wa Mbele kuhakikisha ujenzi wa Nyumba hiyo ya Mungu unafanyika kwa nguvu zote.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
Zawadi maalum kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Jimbo la
Kusini,Askofu Lusekelo Mwakafwila mara baada ya kuongoza harambee ya
kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa la Moravian Ushirika wa
Mbezi Beach,Jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyikiti
wa Kamati ya Ujenzi wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Mbezi
Beach,George Nzunda akimpongeza Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo
la Monduli,Mh. Edward Lowassa kwa kuendesha harambee ya Ujenzi wa Kanisa
hilo iliyofanyika leo kanisani hapo.Katika harambee hiyo,Jumla ya shi.
Mil. 70 zimepatikana ili kufanikisha ujenzi wa Kanisa hilo.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini,Askofu Lusekelo Mwakafwila akitoa neno baada ya kumalizika kwa harambee hiyo.
Ibada ikiendelea kabla ya kuanza kwa harambee.
Wakuu wakiangaliwa Kwanya ya Vijana.
Mh. Lowassa akifuatilia kwanya ya vijana wa kanisa hilo.
Kwaya ikiendelea.
Waumini wakiwa katika Ibada hiyo.
Mh. Lowassa akiaga wakati wa kuondoka.
Mh.
Lowassa akiagana na Balozi David Kapya mara baada ya kumalizika kwa
Shunguli ya Harambee ya Kuchangia ujenzi wa Kanisa la Moravian Ushirika
wa Mbezi Beach,Jijini Dar es Salaam leo.
Hili
ndilo Kanisa linalotakiwa kumalizika ujenzi wake ambalo harambee yake
imefanyika leo na kuongozwa na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la
Monduli,Mh. Edward Lowassa.
Post a Comment