Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASNIA YA HABARI YAPATA PIGO KWA MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA AGNESS YAMO KUFARIKI DUNIA


Habari za kusikitisha zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Agness Yamo, (pichani)  amefariki Dunia leo katika hospitali ya Jeshi, Lugalo.

Aidha imeelezwa kuwa shughuli za maziko zitafanyika huko nyumbani kwa kaka yake Buguruni jijini Dar es Salaam. 
Mungu ailaze roho ya marehemu Agness Yamo, mahala pema peponi, Amina
Taarifa zaidi kuhusu msiba huo mzito kwa tasnia ya habari tutawajuza kadri zitakavyotufiki.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top