Mkutano
wa chama cha demokrasia na maendeleo katika picha, mkutano huo
umefanyika baada ya kuzuiwa kwa takribani siku nne kwasababu mbalimbali
ikiwemo kunyimwa uwanja wa NMC na Leo umefanyika kwenye stand ndogo ya
Nduruma karibu kabisa na hospitali ya Levolosi..
Ikumbukwe
chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye
uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.
Loading...
Post a Comment