Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UFUNGUZI WA JUMBA LA EPIQ BONGO STAR SEARCH WAFANA KWA JUMBA LA KIFAHARI KUZINDULIWA



 Hii ndiyo nyumba ambayo jana ilifunguliwa rasmi kwa wageni waalikwa walikuja kushudia jinsi washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanavyoishi na kupata malezi bora kabisa katika nyumba hiyo.

Madam Ritha ambaye ni judge wa Epiq bongo star search akikaribisha ndani wageni waje kushuhudia jinsi washiriki hawa wanavyoishi katika nyumba hiyo bila kupatwa na shida yoyote.
                    Madam Ritha akitoa maelezo kwa makini kabisa baada ya kuzinduzi mjengo huo
Sasa yale mambo ya msosi nini ndo dzain  hapa ndipo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search  wanapikiwa hapa.
                                 Hapa ndipo washiriki wa Epiq Bongo Star Search wanapolala
        Madam Ritha akitoa risala fupi kwa wageni waalikwa baada ya ufunguzi wa nyumba ya Epiq Bongo Star Search
 Hawa ndiyo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search  hapo wakiwa katika pozi la swagg .
 Washiriki  wa Epiq Bongo Star Search wakiwa na wageni kutoka Zantel baada ya kupewa zawadi ya simu pamoja na line ya zantel.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top