Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Pereira Silima (kulia) akipokea msaada
wa kijamii kutoka kwa Mwakilishi Msaidizi wa kitengo cha kuunganisha
watoto kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa ( UNICEF) nchini Paul Edwards
(kushoto) leo jijini Dare es Salaam. Msaada huo una vitu mbalimbali
kama vyandarua, magodoro, mito, taulo na vifaa vya michezo.venye
thamani ya dola za kimarekani 8,972. Kulia ni Kaimu Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Magereza Fidelis Mboya, Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
TFRA kuchochea uwekezaji viwanda vya mbolea2 hours ago
-
-
Kwa Undani3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment