Mbunge
wa Moshi Mjini Mh Philimoni Mheshimiwa ndesamburo amewasili London
kwa ajili ya Kuhutubia Mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Chadema Tawi la London Uingereza.
Mkutano huo utafanyika katika mji wa
Milton Keynes saa kumi jioni ya leo 15 Sept 2012.
Mh ndesamburo pia atatumia muda huu kuhamasisha vuguvugu la mabadiliko M4C
Taarifa Hizi zimethibitishwa na Mwenyekiti wa TAWI chris Lukosi.

chanzo: Chademablog
Post a Comment