Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara
akikabidhiwa rasmi Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa leo Jijini Dar es
Salaam. Kamati hiyo imekabidhi rasmi ripoti yake kwa Mhe. Waziri ambapo
pamoja na mambo mengine inaainisha mapendekezo mbalimbali ya vitambaa
vinavyopendekezwa kuwa Vazi la Taifa.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara
akionyesha Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa kwa Waandishi wa Habari (
hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ripoti hiyo leo
Jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo
Loading...
Post a Comment