|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi
(National Defence College) leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar
es salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis
Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali
Charles Makalala na kushoto kabisa ni Balozi wa China nchini Tanzania
Mhe. Lu Younqing. |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Chuo cha UIinzi
(National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala leo Septemba
10, 2012 baada ya kumkabidhi mfano wa funguo kama ishara ya kufungua
rasmi chuo hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia ni
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa
Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini Mheshimiwa Adam Koenvaad huko
Ikulu tarehe 10.9.2012.
Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini
Mheshimiwa Jassim Mohamed Mubarak Darwesh mara baada ya Balozi huyo
kutoa hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete huko Ikulu tarehe
10.9.2012.Picha Zote na John Lukuwi
| | | | | | |
on Tuesday, September 11, 2012
Post a Comment