Waziri
wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akiingia kwenye mkutano wa
wanahabari viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam leo, walioandamana
kupinga mauaji ya mwandishi mwenzao, Daudi Mwangosi wa Channel Ten Tv,
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka baada ya kutimuliwa kwenye mkutano huo.
Wanahabari
wakifurahia baada ya kutangaziwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani,
Emmanuel Nchimbi aliyekwenda kwenye mktano huo, ametimuliwa.
Loading...
Post a Comment