Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Mama
Laura Bush wakati wa kikao cha 'The Rand African First Ladies
Initiative' kilichofanyika New York nchini Marekani tarehe 26.9.2012.
The Rand African First Ladies Initiative ni washirika wa maendeleo wa
wake wa marais na wakuu wa nchi za Afrika wanaoshughulikia kuleta
mabadiliko ya afya na elimu kwa mamilioni ya wanawake na watoto barani
humo.Picha na John Lukuwi
Gachagua amuahidi Raila urais Kenya 2027
1 hour ago
Post a Comment