Kaimu
mkurugenzi wa Chakula bora (food safety) Bw, Martin Rimanya akimueleza
waziriwa Afya na Ustawi wa jamii Dk Hussein Mwinyi aina ya vyakula
walivyo vifanyia uchunguzi ambapo amesema kuwa kuna jumla ya vyakula
3018 ambavyo vimesajiliwa baada ya kufanyiwa uchunguzi na pia amesema
kuwa kuna majengo 5025 ambayo yapo tayari kukagua vyakula nchini na
kuongeza kuwa watu na makampuni , yanayotakiwa kuingiza chakula nchini
ni watu 1431 tu. Aidha Bw, Rimanya ameongeza kuwa wamefanya uchunguzi
katika mikoa kumi ili waweze kubaini ni watu kiasi gani walio athirika
na sumu inayopatikana katika vyakula zinazotokana na ukungu maarufu
kama sumu kuvu na kubaini kuwa Mkoa wa Iringa umeathiriwa zaidi na sumu
hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Dawa na Vipodozi TFDA Bw, Henry Irunde akimwonyesha
Waziri wa afya Dr. Hussein Mwinyi document inayoelezea majaribio ya
dawa mbalimbali zikiwemo dawa za kienyeji.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamhii Dr. Hussein Mwinyi akimsikilza maelezo kutoka kwa maofisa wa TDFA.
Post a Comment