Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WIZARA YA AFYA NA WADAU WAKE YASHEREHEKEA KIDONGE CHA MILIONI MIA 500 KATIKA MAPAMBANO YA MALARIA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kusherekea kidonge cha milioni mia 500 ambacho kimepunguza ugonjwa wa malaria kwa asilimia 45,uliofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam leo na kushirikisha wadau mbalimbali wa afya.
Baadhi ya wadau kutoka taasisi za Afya wakiwa katika mkutano huo leo wakushekea kidonge cha milioni mia 500
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa Afya mara baada ya kumalizika kwa mkutano.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top