Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee wakati alipohutubia
mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri ya wilaya mjini Kahama
Septemba 8,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (mwenye miwani kulia) wakitazama
ufyatuaji matofari kwa kutumia saruji na udongo wakati alipozindua Kituo
cha kilimo na kukabidhi matrekta Mjini Kahama akiwa katika ziara ya
siku moja wilayni humoSeptemba 8, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment