Greda la Manispaa ya Kinondoni likiwa eneo la tukio tayari kuanza kazi.
Askari mgambo wa Manispaa wakiangalia kwa makini ubomoaji wa nyumba hizo.
Mmoja wa mgambo waliokuwa katika zoezi hilo la ubomoaji, akisaidia kutoa vyombo.
*****************
ILE sera
ya mipango miji katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,
imepamba moto baada ya wakazi wa Sinza Mori na Bamaga kubomolewa nyumba
zao kufuatia kujenga sehemu zilizotengwa kwa ajili ya barabara.endelea
kupitia audiface jackson blogspot kupata habari zaidi.Zoezi hilo
lililoacha simanzi, majonzi na vilio kwa wakazi hao, limefanyika leo na
kushuhudiwa na kamera yetu.Picha Kwa Hisani Ya Audifance Jackson Blog
Post a Comment