Mwili
wa marehemu Kassim Athuman ukiwa umening’inia baada ya kujinyonga kwa
kutumia kamba ya katani chumbani kwake leo, tukio hili limetokea kwenye
mtaa wa Sinza ‘E’, kata ya Sinza Wilaya ya Kinondoni amekutwa
amejinyonga chumbani kwake mapema jioni ya leo.
Shaban
Athuman ambaye ni kaka wa marehemu akitoa maelezo kwa afisa polisi
aliyefika kuchukua mwili wa marehemu kwa uchunguzi zaidi
Picha ya marehemu Kassim enzi za uhai wake
ni kilio na majonzi kwa ndugu jamaa na marafiki
Post a Comment