Leo tarehe 12 Oktoba, 2012 wabunge wa Tanzania ambao wanashiriki
mkutano wa bunge la SADC nchini Malawi wakiongea na balozi wa Tanzania
mjini Lilongwe, Malawi, katika ofisi za ubalozi huo jioni ya leo.
Habari zilizoandikwa na mtandao wa malawivoice.com kuwa Balozi Tsere
kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo hazina ukweli wowote. Kwa mujibu wa
Balozi Tsere, habari hizo zinalenga kuvuruga mahusiano kati ya Malawi
na Tanzania.Source.Michuzi Blog
Loading...
Home » Unlabelled » Balozi wa Tanzania nchini Malawi akanusha uvumi kuwa kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo
Post a Comment