Meneja
mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza juice cha BAKHRESA FOOD PRODUCTS
LIMITED,L Naimesh Kansara akionesha timu ya Wapigapicha waliokuwa
katika safari ya Upigaji Picha za Jumuia ya Afrika Mashariki ‘EAC PHOTO
SAFARI’ walitembelea viwanda hicho ujazo mpya wa boksi za Juice ambazo
Kampuni hiyo itaanza kuzizalisha mapema mwakani.
Timu
hiyo ya Wapigapicha ilitembelea kiwanda hicho kwakuwa tu ni Bakhresa ni
Moja ya Makampuni ya kitanzania ambayo yanafanya biashara zake pia
katika Nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki
Akizungumzia
juu ya kiqwabda hicho, Meneja Kansara, alisema kuwa kiwabnda hicho ni
cha kwanza kwa ubora Afrika Mashariki na ni chapili kwa Afrika (ukanda
wa Sahara).
Anasema
kuwa wameamua kuzalisha ujazo huo ili kukidhi makundi yote katika jamii
baada ya kuzalisha pakiti ndogo ambazo ni maarufu ‘kijoti’ na licha ya
kuwa hupendwa zaidi na rika lote lakini watoto wamekuwa wapenzi zaidi wa
ujazo huo, pamoja na ule mkubwa wa familia. Hivyo wameona ni vyema
kutengeneza na nusu yake.
Manka akionesha pakiti hizo mpya za juice za ladha mbalimbali hadi juice ya dafu ambazo zitaanza kuzalishwa Mwakani.
Juice zikiwa katika mpangilio unaovutia
Mfanyakazi wa Kiwanda chya Juice za AZAM akiwa kazini katika uzalishaji.
Kiongozi
wa Msafara wa Wapigapicha za EAC, ambaye ni Mtaalam wa Masuala ya
Vyombo vya Habari, Sukhdev Chhatbar (kushoto) akizungumza jambo na
meneja Mkuu wa Kiwanda hicho cha Juice, Naimesh Kansara.


Post a Comment