Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BARNABA ALETA BALAA KARATU

 
 
Watu wanne wanasadikiwa kupoteza maisha usiku huu October 21 2012 baada ya kutokea fujo Karatu kwenye Pub maarufu iitwayo Pub Lamonte.
Kwa wiki kadhaa matangazo yamekua yakisikika na mabango kuonekana ikitangazwa kwamba Mwimbaji BARNABA atakua na show Pub Lamonte Karatu usiku wa october 21 2012 ambapo watu walinunua ticket na wakajaa kwa ajili ya kumsubiria Barnaba.
Kilichotokea ni kwamba kumbe Promota hakuwahi hata kuongea na Barnaba ambae ndio ameingia Dar es salaam akitokea Nairobi leo, sasa leo ikiwa ndio siku ya show Promota kampeleka Barnaba feki ambae nimeambiwa ni mrefu na amejazia ambapo hakuchukua time watu kumgundua kwamba ni feki, fujo ndio zikaanza kwa watu wenye hasira na viingilio walivyolipa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top