|
Francis Godwin (kushoto) akipokea cheti maalum baada ya kuhitimu mafunzo ya ulinzi kwa wanaharakati wa haki za binadamu yaliyotolewa na Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRD) jijini Dar es Salaam jana. Anayekabidhi cheti ni mgeni rasmi katika hafla hiyo Mwanaharakati Dk. Azaveli Lwaitama. Katika mafunzo hayo jumla ya wanahabari watatu ndio walionufaika na mafunzo. Mbali ya Godwin wengine ni Saed Kubenea na Keneth Simbaya.
Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UPTC) Kenneth Simbaya akikabidhiwa cheti chake.
Mwenyekiti wa Bodi ya THRD, Bi Matrida Kabisama akikabidhiwa cheti chake na Lwaitama. |
Mdau Benny alikuwa miongoni mwa washiriki.
|
Saida Amour kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akipokea cheti. |
|
Neema Ole Ndemno kutoka Arusha akipokea cheti. |
|
Francis Godwin (mwenye suti mbele) akiwa na wanaharakati wengine wa haki za binadamu baada ya kumaliza mafunzo ya ulinzi kwa watetezi wa haki za binadamu jana. |
on Monday, October 22, 2012
Post a Comment