MWENYEKITI wa UWT
Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Mwenyekiti Mhe.Asha Bakari Khamis, wakiwa na
furaha baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu wa umoja huo uliofanyika
katika ukumbi wa chuo cha mpiango Dodoma
VIONGOZI wa meza kuu
wakishangilia baada ya kuitolewa matokeo ya kura za Mwenyekiti na Makamu
Mwenyekiti wa UWT, baada ya uchaguzi kufanyika kuwachagua Viongozi
hao.
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia bbaada ya kutangazwa jina la
Mwenyekiti mpya wa Umoja huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma usiku wa kuakia leo
Post a Comment