Yani hii cake ningekuwa nimeiona popote pale ningejua tuuu mwandishi wa hayo maneno ni Wema Sepetu
maana hiyo "daddy ake" ni official Wema Sepetu slogan...uwiiiiii slogan....
Birthday boy akiingia kwenye party yake @ D'MAGE HOTEL KINONDONI....
Alifika tu akatumbukia kwenye swimming pool kwanza....
Kijana body Mashallah!!! lol...
Wema akasogea pembeni tayari kwa kumwimbia Daddy ake...
Akamlisha cake daddy ake kihivyooooo...
Wema akilishana cake na dadake Diamond.....
Baada ya hapo Wema ndo aliwalisha cake wageni kwa niaba ya Daddy ake ambae
alikuwa ana swim.....lol...
kidume cha mbegu Ommy Dimpoz, muzee Dimples hizoooooooo....hahahha
akiwa na Mbonie wa the Mbonie show na Meckisha wa UK....
Unaambiwa kulikuwa na totoz za kutosha ndani ya swimming pool....
Wema (in her sweet babyish voice): "Daddy yake umesha swim vya kutosha toka basi kwenye maji uje ku enjoy na wageni
Diamond: "Sawa baby nakuja, alafu baby we
mzuri yani siamini umenirudia, vituko vyote vile nilivyokufanyia and
you came back to me? yani Wema wako sitokuja kuusahau
yani wazazi wako walikupa jina linalokufaa sana baby wangu"
Wema: "Yamepita Naseeb wangu, najua wote
wanakutamani ila sikuachiiii Naseeb haki ya nani, hata Dada Mange
akiniambia you dont deserve me sikuachi ng'oooo"
Diamond: Fuck that bitch!!!
LOL...
Sihaba Naseeb nae akamsikiliza baby wake akatoka kwenye maji akala bata na wageni....
















Post a Comment