Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DCB COMMERCIAL BANK YAZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJI WA UNUNUZI WA HISA


Rais mstaafu wa awamu ya tatu Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Benjamini William Mkapa akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa benki ya DCB Commercial Bank kwa ajili ya uhamasishaji ununuzi hisani na haki iliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo, kulia mwenyekiti wa bodi ya benki hiyo Paul Rupia,kushoto mkuu wa mkoa wa Dar es salaa Saidi Meck Sadik,
Baadhi ya wanachama wa benki hiyo wakiwa katika sherehe za uzinduzi huo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top