Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua vifaa vya kukamu asali baada ya kufungua maonyesyesho ya mazo ya asali kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dae sa salaam Oktoba 5, 2012 kulia kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallh Kigoda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifurahia asali wakati alipotembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema baada ya kufungua maonyesho ya kwanza ya Kitaifa ya mazao ya nyuki kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Octoba 5, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
on Saturday, October 6, 2012
Post a Comment