Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DKT. SHEIN AKABIDHIWA RIPOTI YA TUME MV SKAGIT LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv SKAGIT, kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa, Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, (kulia) akisikiliza Ripoti ya Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT, iliyosomwa na  Mwenyekiti wa Tume   hiyo.  Jaji Abdulhakim Ameir Issa, alipofika na ujumbe wa tume hiyo Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na wajumbe wa  Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT, iliyo ongozwa na Mwenyekiti wa Tume   hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,walipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top