Katibu
Mkuu wa Chama cha wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (CHAWASHINYU)
Ferdinand Swai (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari leo
jijini Dar es salaam kuhusu kuanzishwa kwa chama hicho kwa lengo la
kuwatetea wapangaji wa Shirika hilo . Kulia Mwenyekiti wa Chama cha
wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (CHAWASHINYU) Mujengi Gwao
Mwenyekiti
wa Chama cha wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (CHAWASHINYU)
Mujengi Gwao (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari leo jijini
Dar es salaam kuhusu kuanzishwa kwa chama hicho kwa lengo la kuwatetea
wapangaji wa Shirika hilo . Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha wapangaji
wa Shirika la Nyumba la Taifa (CHAWASHINYU) Ferdinand Swai.
Picha na MAELEZO- Dar es salaam
Post a Comment