Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu unaoshirikisha pia Kamisheni
ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini
Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu
katika ukanda wa Afrika Mashariki
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha
ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu
unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo
unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa
vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Augustine, Dkt. Charles Kitima,
wakati alipokuwa akitembelea kukagua mabanda ya maonyesho baada ya kufungua
mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu unaoshirikisha pia Kamisheni ya
Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha
na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika
ukanda wa Afrika Mashariki.
-Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na
Mwenyekiti wa Umoja wa Mawaziri wa Afrika Mashariki, Musa Sirima, wakati wa
uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu unaoshirikisha pia
Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu
jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu
ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Picha na OMR
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
Alfajiri3 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-






Post a Comment