Pichani ni muonekano wa ndege ya Jeshi la Wananchi
la Tanzania (JWTZ), iliyopata ajali juzi. Ndege hiyo ndogo ya kijeshi ya
mazoezi, (Military training aircraft) namba JW 9129 ilipata ajali na kusababisha
askai mmoja kufariki na mwingine kujeruhiwa katika ajali hiyo
wakati marubani wanafunzi wa jeshi wakitumia ndege hiyo kufanya
mazoezi.
Mmoja wa wanajeshi hao, Kepten Deogratiusi Magushi,
alifariki dunia na mwingine kepteni Feruzi Kwidika, alijeruhiwa katika ajali
hiyo iliyotokea katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere eneo la airwing Ukonga
jijini Dar es Salaam. Picha na JWTZ


Post a Comment