Loading...
KIONGOZI WA UAMSHO APATIKANA AKIWA SALAMA SALMIN
Amir Farid akipiga vitu vyake jukwaani
Amir farid baada ya kuoneka akiwa na familia yake
****************************
Yule kiongozi wa uamsho aliyekuwa amepotea amepatikana eneo lile lile alilopotelea na amehojiwa amesema kwamba yupo salama na amesema kwamba alitekwa na polisi na watu wa usalama na amesema kesho ataongea na vyombo vya habari.
Post a Comment